21 Oct 2025 10:28 am | Citizen TV 182 views Duration: 2:01 Wakulima wa chai wamehimiza serikali kupitia wizara ya kilimo kutafuta njia za kuongeza thamani ya chai ya Kenya ambayo itavutia soko bora za kigeni na kuleta faida zaidi kwa wakulima.