Wakulima walalamikia uharibifu wa mimea kwenye shamba

  • | Citizen TV
    162 views

    Wakazi wa vijiji kadhaa katika eneo bunge la butula kaunti ya busia wanakadiria hasara shambani kutokana na uharibifu wa tumbili kwenye mimea yao hasa mahindi ambayo yamekaribia kuwa tayari.