Wakulima wapokea uhamasisho Kaunti ya Busia

  • | KBC Video
    5 views

    Wakulima katika kaunti ya Busia wanatarajiwa kunufaika kufuatia kufunguliwa kwa taasisi ya mafunzo ya kiufundi ya shirika la NYS ya Achiye Achakara kwenye eneo bunge la Teso kaskazini. Taasisi hiyo inalenga kuwapa wakulima teknolojia ya kisasa ya kilimo katika jitihada za kuhakikisha taifa hili linajitosheleza kwa chakula ifikapo mwaka 2025.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News