Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wasambaziwa mbegu za nafaka na kupewa mafunzo katika kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    241 views
    Duration: 2:38
    Serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi imeendeleza mpango wa kutoa mbengu kwa wakazi katika msimu wa mvua, ikiwa njia moja ya kuhakikisha uwepo wa vyakula na kupambana na njaa. Mpangilio huo wa kutoa mbegu uko katika muhula wa 11.