1 Dec 2025 11:53 am | Citizen TV 273 views Duration: 2:02 Wakulima kutoka eneo la Magharibi wamehimizwa kutumia mbegu zinazostahimili ukame kama mkakati wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa na kuongeza uzalishaji.