Skip to main content
Skip to main content

Wakulima watakiwa kukumbatia upanzi wa miti ya matunda Kajiado

  • | Citizen TV
    223 views
    Duration: 3:24
    Changamoto yatolewa kwa wakulima katika kaunti ya Kajiado kukumbatia upanzi wa miti ya matunda kando na upanzi wa miti ya kawaida ili kupiga jeki utoshelevu wa chakula nchini.Wakizunguza walipokuwa wakikagua mradi wa upanzi wa miti na mimea unaoendeshwa na shirika la Maendeleo la umoja wa matifa UNDP huko Isinya, wadau wa mazingira wasema kuwa kuna haja kubwa kwa wakulima kupanda matunda kwa wingi ili kuimarisha lishe pamoja na mazingira nchini