- 2,331 viewsDuration: 3:10Siku moja baada ya rais William Ruto kutoa agizo kwamba wanafunzi wote wa gredi ya Juu ni sharti wafike katika shule zao hata kama hawana karo wala sare rasmi., Wasiwasi sasa umeghubika wasimamizi wa taasisi hizo za elimu ambao wanasema japo hatua ya rais ni ya kufurahisha ila taswira ni tofauti ndani ya shule hizo. Kulingana nao, iwapo fedha za kutosha hazitatumwa basi huenda shughuli za masomo zikakwama