Skip to main content
Skip to main content

Wakwama kwenye roller coaster kwa muda wa saa tatu

  • | BBC Swahili
    4,797 views
    Duration: 37s
    Watu 27 waliokolewa baada ya kukwama kwenye roller coaster kwa muda wa saa tatu. Kifaa hicho cha mchezo wa burudani kilisimama takriban mita 15 kutoka ardhini baada ya umeme kukatika na kuathiri michezo kadhaa katika eneo hilo. Vikosi vya uokoaji viliwafikia na kuwaokoa wote na hakuna mtu aliyeripotiwa kujeruhiwa. #bbcswahili #rollercoaster #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw