15 May 2026 2:34 pm | Citizen TV 88 views Duration: 1:25 Watu wanaoishi na ulemavu kutoka kaunti za Wajir na Mandera sasa waiomba serikali ya rais William Ruto kuzingatia ushirikishwaji wao huku eneo hilo likijiandaa kuandaa sherehe za madaraka day