8 Oct 2025 1:49 pm | Citizen TV 407 views Duration: 1:41 Wakaazi kutoka kaunti ya Meru walio na Ulemavu wameeleza Mafanikio ya uwezeshaji kiuchumi wanaopata kutoka kwa serikali na Mashirika ya Kijamii, Baadhi yao wakiweza kujikimu pamoja na Familia Zao.