- 165 viewsDuration: 6:48Watu wenye ulemavu katika kaunti ya Uasin Gishu ,wanatarajiwa kufika mbele ya bunge la kaunti hiyo ,kulalamikia kutengwa na serikali ya kaunti . Walemavu hao wanasema hakuna hata mlemavu mmoja ameajiriwa na bunge hilo licha ya kuwa wana haki kisheria kuajiriwa kama watu wengine kwenye nyadhifa mbalimbali.