Walimu 5 kutoka shule ya upili ya St. Mary's Mabera wamekamatwa kwa tuhuma za udanganyifu wa mtihani

  • | KBC Video
    40 views

    Walimu watano kutoka shule ya upili ya St. Mary's Mabera,kaunti ya Migori wamekamatwa kwa kudaiwa kuhusika katika udanganyifu wa mtihani, huku msimamizi wa kituo kimoja katika kaunti ya Kisii akisimamishwa kazi na tume ya kuajiri walimu (TSC) kutokana na udanganyifu wa mtihani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News