Skip to main content
Skip to main content

Walimu na familia waandamana Kericho kufuatia Mauaji ya Martina Chepkemoi Ruto

  • | Citizen TV
    107 views
    Walimu pamoja na familia ya mwalimu aliyeuawa walifanya maandamano katika Kaunti ya Kericho wakiwataka polisi kuwajibika na kuwapa haki. Mwili wa mwalimu huyo, Martina Chepkemoi Ruto, ulipatikana umetupwa mtoni baada ya kuuwawa kwa kudungwa kisu.