Walimu waahidi kuendelea na mgomo wao licha ya mahakama kusitisha mgomo huo

  • | Citizen TV
    1,656 views

    Muungano Wa Walimu Wa Shule Ya Sekondari Tawi La Mombasa Umeandaa Maandamano Katikati Mwa Jiji La Mombasa, Licha Ya Mahakama Kusitisha Mgomo Hapo Jana. Walimu Hao Wameapa Kuendelea Kususia Kazi Hadi Pale Serikali Itakapo Tekeleza Matakwa Yao. Francis Mtalaki Anaungana Nasi Moja Kwa Moja Kutoka Mombasa.