- 224 viewsDuration: 3:31Ajira kwa walimu waliohitimu baada ya kufuzu kutoka vyuo mbali mbali imekuwa donda sugu,. walimu wengi karibu wanafikisha miaka ya kustaafu ilihali hawajawahi kuajiriwa, matumaini yao hutokomea wakijuta ni kwanini walichagua taaluma hiyo...