10 Apr 2026 10:18 am | Citizen TV 338 views Duration: 1:51 Viongozi wa vyama vya walimu katika Kaunti ya Nandi wameitaka serikali kuwarejesha walimu kwenye mfumo wa awali wa bima ya afya, wakidai kuwa bima ya sasa ya SHA, haikidhi mahitaji yao .