- 244 viewsDuration: 3:08Walimu wanagenzi wa shule za sekondari msingi nchini wanatishia kugoma kuanzia januari 2026 wakitaka serikali kuwapa ajira ya kudumu. Walimu hao wanasema walitarajia kuajiriwa baada ya kandarasi yao ya mwaka mmoja kukamilika mwisho wa mwaka huu, ila hadi sasa hakuna mwelekeo mwafaka. Walimu hao wanalalamikia kufanya kazi sawa na walioajiriwa, ila wanalipwa mishahara duni.