Walimu wanaogoma walaumiwa kwa kukosa subira

  • | K24 Video
    35 views

    Katibu wa wizara ya elimu Belio kipsang amesema hakuna pengo lolote la wanafunzi kukosa kusoma katika shule za awali za sekondari licha ya mgomo wa walimu watarajali. Kipsang amesema walimu hao wamekosa subira kwani kuna mpango wa kuwajumuisha kupata kandarasi ya kudumu. Hao wana hofu ya kuwepo kwa njama fiche ya kuajiri walimu 26000 badala ya 46000.