Skip to main content
Skip to main content

Wana anga wanawake pekee wafanya matembezi anga za juu

  • | BBC Swahili
    3,490 views
    Duration: 46s
    Tazama wanaanga hawa wakianza matembezi adimu ya anga ya wanawake pekee nje ya Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu (ISS). Mwanaanga wa NASA, Jessica Meir, na mwanaanga wa Ufaransa, Sophie Adenot, walifanya matembezi ya angani yaliyodumu kwa saa 6 na dakika 30. Hii ilikuwa mara ya sita katika historia ambapo wanawake wawili wamefanya matembezi ya angani pamoja. Meir aliwahi kuweka historia mwaka 2019 alipofanya matembezi ya kwanza kabisa ya angani yaliyofanywa na wanawake pekee, pamoja na mwanaanga wa NASA Christina Koch. #bbcswahili #angazajuu #nasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw