12 Nov 2026 1:53 pm | Citizen TV 90 views Duration: 1:33 Wanachama wa shirika la matatu la kinatwa sacco waliandamana kitui wakilalamikia uongozi wa mwenyekiti wa shirika hilo amos munyao.