Skip to main content
Skip to main content

Wanachama wa shamba la Keekonyokie wapokea barua za ardhi hiyo baada ya mizozo ya miaka

  • | Citizen TV
    168 views
    Duration: 2:06
    Wanachama wa shamba la Keekonyokie la ekari 2800 huko kajiado magharibi, wamepokea zaidi ya barua 4,600 za ardhi hiyo baada ya mizozo ya miaka mingi. Mwenyekiti wa shamba hilo Moses Ole Palantai amesema zaidi ya wakazi elfu moja watapokea ekari moja kila mmoja, huku baadhi wakipata nusu ekari kulingana na mipango iliyoidhinishwa na kaunti.