- 8,002 viewsDuration: 2:50Wanafunzi 10 wa shule ya upili ya wavulana ya Litein wamekamatwa na maafisa wa polisi wakihusishwa na vurumai lililotokea ndani ya shule hiyo. Wanafunzi waliripotiwa kuzua fujo na kuteketeza shule baada ya kunyimwa nafasi ya kutazama mechi kati ya Arsenal na Manchester City jumapili. Kwa sasa, shule hiyo imefungwa kwa muda.