- 295 viewsDuration: 3:40UFADHILI WA MASOMO Wanafunzi 160 werevu kutoka familia zisizojiweza waliofanya tathmini ya KJSEA mwaka uliopita kote nchini wamenufaika kutokana na ufadhili kamili ya masomo kutoka kwa hazina ya elimu nchini. Akizungumza kwenye hafla ya kutoa ufadhili huo jijini Nairobi, mkurugenzi wa hazina hiyo Francis Ng’ang’a alisema kuwa ufadhili huo umetolewa kuambatana na matokeo kwenye tathmini hiyo na viwango vya mahitaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive