- 236 viewsDuration: 1:40Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Nairobi tawi la Kikuyu wamejitokeza kulalamikia utovu wa usalama uliokithiri shuleni na katika mazingira yake. Hii ni baada ya mvulana mmoja kumuua mwenzake shuleni katika mgogoro uliohusisha usafi wa choo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya