Wanafunzi kutoka familia maskini wapewa karo ya shule

  • | Citizen TV
    63 views

    Wanafunzi elfu 18 katika kaunti ya Makueni wamepata ufadhili wa masomo yao wa takriban shilingi milioni 114 kutoka kwa serikali ya kaunti.