Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi kutoka jamii maskini wafaidika Turkana

  • | Citizen TV
    58 views
    Duration: 1:44
    Gavana wa Kaunti ya Turkana Jeremiah Lomorukai ameitaka tume yaufisadi nchini EACC kuchunguza na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya maafisa wa elimu watakaopatikana wameshiriki ubadhirifu wa pesa za basari katika taasisi za elimu kwenye Kaunti hiyo. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa msaada wa karo wa shilingi milioni 430 kwa wanafunzi katika shule za sekondari, vyuo vya kiufundi, na vyuo vikuu, Gavana huyo anadai kuwa baadhi ya taasisi za elimu hutumika katika kuwalaghai wanafunzi pesa za basari ,kwa kuwasajili kama walionufaika na mwishowe kukosa kuwalipia fedha hizo.