Wanafunzi Tana River wataabika kurejea shuleni

  • | Citizen TV
    166 views

    Baadhi ya wazazi na wadau wa elimu katika kaunti ya Tana River maeneo ya Garsen sasa wanaitaka serikali kujitokeza na kuweka mipango ya dharura ya shule zote ambazo zimeathirika na mafuriko katika eneo hilo.