8 Oct 2025 1:30 pm | Citizen TV 330 views Duration: 1:24 Wanafunzi wa chuo cha kiufundi cha Okame eneo bunge la Teso kusini kaunti ya Busia wameandamana kulalamikia kukosa umeme kwa majuma matatu chuoni humo.