8 Oct 2025 1:42 pm | Citizen TV 9,488 views Duration: 1:46 Wanafunzi wa chuo kikuu cha Pwani mjini Kilifi wametoa makataa ya saa 48 kwa serikali kuu kuwalipa wahadhiri wa vyuo vikuu nchini la sivyo waandamane.