Wanafunzi wa shule ya upili ya wavulana ya Oruba wapinga matokeo ya mtihani wa KCSE

  • | KBC Video
    62 views

    Wanafunzi kutoka shule ya upili ya wavulana ya Oruba katika Kaunti ya Migori wamepigwa na butwaa baada ya wengi wao kupata alama za D na E katika mtihani wa KCSE wa mwaka jana. Wanafunzi hao wamepinga matokeo hayo wakisema wanayashuku na asa wanatafuta ufafanuzi kubaini ukweli. Ni watahiniwa wawili pekee walioandikisha alama ya C-Minus kama alama bora shuleni humo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive