Wanafunzi wa zamani wa Alliance Girls walalamika

  • | Citizen TV
    5,344 views

    Wanafunzi wa zamani wa Alliance Girls High School wamekongamana katika shule hiyo ya upili kushinikiza haki kufuatia taarifa kuwa mwalimu mmoja wa kiume ameendeleza mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi