Wanafunzi wahamasishwa katika chuo cha ufundi cha Kericho

  • | Citizen TV
    310 views

    Mamlaka ya kitaifa ya kupambana na dawa za kulevya NACADA ilizuru chuo Cha kiufundi Cha Kericho Township kwa ajili ya hamasisho dhidi ya uraibu wa mihadarati na upanzi wa miti.