29 Oct 2025 10:52 am | Citizen TV 2,467 views Duration: 5:10 Wanafunzi wa chuo kikuu cha TUM Kaunti ya Mombasa wanafanya maandamano ya amani wakilalamikia kimya cha serikali kuhusu kutatua mgomo wa wahadhiri. Wanafunzi hao wanalalama kuwa hatua hiyo imewanyima haki ya masomo.