Skip to main content
Skip to main content

Wanafunzi wazungumzia changamoto zinazowakumba kwenye jukwaa la Young Voices Kajiado

  • | Citizen TV
    108 views
    Duration: 3:46
    Wanafunzi kutoka shule mbali mbali katika eneo bunge la Kajiado kusini wanalalamikia changamoto zinazowakumba katika eneo hilo. Wakizungumza kwenye jukwaa la Young Voices, wanafunzi hao wamesema shule nyingi za eneo hilo hazina Miundo msingi bora, maji na pia kuna upungufu wa walimu. Aidha, shule yingi ziko mbali na makazi yao hivyo wanalazimika kusafiri kwa muda mrefu kila siku ili kufika shuleni.