Wanaharakati na viongozi kaunti ya Samburu wawataka wazazi kuwajibikia zaidi malezi ya wanao

  • | Citizen TV
    241 views

    Wanaharakati na viongozi wa kidini katika kaunti ya Samburu wamewataka wazazi kuwajibikia zaidi malezi ya wanao haswa wakati wa likizo. wanaharakati hao wanalalamika kuwa visa vingi vya mimba za utotoni huripotiwa wakati wa likizo.