Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wamfikisha Rais Samia ICC

  • | BBC Swahili
    33,239 views
    Duration: 5:34
    Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za kibinadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza Rais wa Tanzania, na serikali yake kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu unaodaiwa kufanywa wakati wa uchaguzi Mkuu wa hivi karibuni. Waraka wa ombi kwa ICC unamtuhumu Rais Samia Suhulu Hassan na maafisa wengine wa ngazi za juu kwa kuhusishwa moja kwa moja na vifo vya raia wakati wa maandamano ya baada ya uchaguzi. #DiraYaDuniaTV