- 1,132 viewsDuration: 2:01Shirika la kijamii la Grassroots Economic Justice Movement linashinikiza Waziri wa kawi Opiyo Wandayi kuchukuliwa hatua za kisheria kufuatia kashfa ya uingizaji wa mafuta duni nchini. Wakereketwa hao wanasema wataendelea kushinikiza uwajibikaji, wakimtuhumu Wandayi kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake.Aidha wanasema hawatasita kuwasilisha suala hilo mahakamani endapo hakuna hatua itakayochukuliwa.