Skip to main content
Skip to main content

Wanaharakati wamtaka waziri Wandayi ajiuzulu kutokana na kulipuka kwa kashfa ya mafuta

  • | Citizen TV
    730 views
    Duration: 1:46
    Shirika la kijamii la Grassroots Economic Justice Movement linashinikiza Waziri wa kawi Opiyo Wandayi kuchukuliwa hatua za kisheria kufuatia kashfa ya uingizaji wa mafuta duni nchini. Wakereketwa hao wanasema wataendelea kushinikiza uwajibikaji, wakimtuhumu Wandayi kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake.Aidha wanasema hawatasita kuwasilisha suala hilo mahakamani endapo hakuna hatua itakayochukuliwa.