Wanajeshi wa Israeli wakifanya doria, wakagua majengo na kushambulia malengo
Jeshi la Israeli limetoa kanda za video zinazotokana na kamera zinazovaliwa na wanajeshi Jumapili (Disemba 31) inayodai kuonyesha operesheni zake za kijeshi huko Khan Younis.
Reuters haikuweza kuthibitisha eneo na tarehe ambayo video hii ilichukuliwa.
Picha hizo za video zilikuwa zinaonyesha wanajeshi wa Israeli wakifanya doria katika mji uliozingirwa huko Gaza, wakikagua majengo ya raia na kushambulia malengo ya maficho ya Hamas.
Khan Younis ni moja ya maeneo ambayo Israel imezidisha mapigano yake dhidi ya Hamas wiki hii, ikisaidiwa na mashambulizi makali ya angani yaliyojaza mahospitali Wapalestina waliojeruhiwa.
Shambulizi lililofanywa na Hamas Oktoba 7 kwa kuvuka Gaza na kuingia kusini mwa Israel lilisababisha vita na waliwauwa kiasi cha watu 1,200.
Maafisa wa afya wa Palestina walisema watu wasiopungua 26,000 wakazi wa Gaza wameuawa katika vita hivyo. - Reuters
#Haifa #waelaldahdouh #hamzaaldahdouh #shirikalamwezimwekundu
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #mwandishi #aljazeera #maghazi #khanyounis
30 Jun 2025
- The governor is accused of gross violation of the constitution.
30 Jun 2025
- ODM confirmed the tragic news in a heartfelt statement on Monday, June 30.
30 Jun 2025
- On Saturday, a senior traffic cop lost his life in a high-speed pursuit in his own vehicle.
30 Jun 2025
- The Independent Policing Oversight Authority (IPOA) has opposed an attempt by senior police officers to block their prosecution over the death of blogger Albert Ojwang, terming the legal move as a calculated effort to evade justice.
30 Jun 2025
- Kathiani Member of Parliament (MP) Robert Mbui has claimed that National Assembly Speaker Moses Wetangula muzzles dissenting legislators from speaking on the floor of the House.
30 Jun 2025
- The High Court has ordered Inspector General of police Douglas Kanja to produce blogger Ndiagui Kiangui, who has been missing for 10 days.
30 Jun 2025
- The High Court has ordered Inspector General of police Douglas Kanja to produce blogger Ndiagui Kiangui, who has been missing for 10 days.
30 Jun 2025
- The government has ordered an immediate suspension of new procurement processes under framework agreements and contracts ahead of the transition to the new Electronic Government Procurement System (e-GPS). The Public Procurement Regulatory Authority (…
30 Jun 2025
- The governor is accused of gross violation of the constitution.
30 Jun 2025
- Senate Speaker Amason Kingi has ruled that the proposed impeachment motion of the Isiolo County governor, Abdi Ibrahim Hassan, will be conducted in plenary. Speaking while addressing senators on Monday, June 30, 2025, Kingi ruled after the seven charges…
30 Jun 2025
- The crowd, composed largely of fellow activists, broke into chants of “Viva comrades, viva!”
30 Jun 2025
- The decision to proceed in plenary follows the collapse of an attempt to form an 11-member special committee.
30 Jun 2025
- IT expert Ndiang’ui Kinyagia has been missing since June 21, 2025 following an alleged police raid at his residence in Kinoo.