Wanajeshi waliostaafu wamtembelea Adline Mwawughanga anayeugua ugonjwa wa saratani

  • | Citizen TV
    1,741 views

    Baada ya runinga ya Citizen kuangazia masaibu yake mgonjwa wa saratani Adline Mwawughanga mwaka uliopita, muungano wa wanajeshi wa kike waliostaafu wamemtembelea nyumbani kwake eneo la Kaloleni, Voi kumsaidia. Adline ni afisa wa kijeshi aliyestaafu baada ya kuhudumu miaka 20.