Wanakandarasi waliojenga madarasa ya CBC wadai malipo

  • | Citizen TV
    684 views

    Wafanyabiashara waliofanya ujenzi wa madarasa kwa utekelezaji wa mpito wa elimu ya CBC kwa wanafunzi wa sekondari msingi wanadai malipo yao mwaka mmoja baadaye. Wizara ya elimu hadi sasa inadaiwa na wanakandarasi hawa waliofanikisha ujenzi wa zaidi ya madarasa elfu sita.