Wananchi watakiwa kudumisha sheria wakati wa sherehe za Madaraka

  • | KBC Video
    21 views

    Maandalizi yamekamilika katika kaunti ya Homabay, kabla ya sherehe za siku ya Madaraka zitakazoandaliwa kesho. Wananchi wanatarajiwa kuwa wameketi uwanjani humo ifikapo saa kumi na mbili asubuhi huku milango ya uwanja wa michezo wa Raila Odinga ambapo hafla hiyo itafanyika ikifunguliwa saa kumi na moja asubuhi. Achola simon anatupasha taarifa hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive