Skip to main content
Skip to main content

Wanasiasa kulipia zaidi kwenye ongezeko la marupurupu ya wasanii wa siasa

  • | Citizen TV
    2,211 views
    Duration: 3:23
    Waziri wa vijana na michezo salim mvurya ametangaza kuongezwa kwa marupurupu yanayolipwa wasanii, wakiwemo wale wa nyimbo za kisiasa huku taifa likijandaa kwa msimu wa kampeni kabla ya uchaguzi mkuu mwakani. Kupitia kwa mwongozo huo, mgombea urais atalazimika kulipa shilingi nusu milioni kutumia kibao cha mwanamuziki kuzindua azma yake ya kugombea urais.