- 604 viewsDuration: 2:53Viongozi wa kidini wamewataka viongozi wa kisiasa kupunguza matamshi ya chuki na kujizuia na mijadala ya matusi hadharani. Aidha, viongozi wa makanisa waliozungumza kwenye hotuba zao wakati Wakristo duniani wakiadhimisha jumapili ya mitende pia wamewataka viongozi kuwajibikia maswala muhimu ya wakenya.