21 Oct 2025 10:26 am | Citizen TV 136 views Duration: 1:10 Wakazi wa Sabaki katika Athi River, Kaunti ya Machakos, wamewaonya wanasiasa dhidi ya kujipatia sifa kwa miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na jamii.