Wanasiasa West Pokot wataka wenzao kuendesha siasa za amani

  • | Citizen TV
    2,992 views

    Wawaniaji watatu waidhinishwa kuwania ugavana West Pokot Gavana John Lonyangapuo anawania kutetea kiti chake cha ugavana Wengine wanaowania ni gavana wa zamani Simon Kachapin wa UDA Naibu gavana wa sasa Nicholas Atudonyang wa KANU pia anawania