16 Sep 2026 10:15 am | Citizen TV 79 views Duration: 1:50 Kina mama wajawazito 32 wamepoteza maisha katika Kaunti ya Bungoma mwaka huu wakati wa kujifungua, huku mgomo wa wauguzi uliokamilika hivi majuzi ukitajwa miongoni mwa sababu zilizochangia vifo hivyo.