Skip to main content
Skip to main content

Wanawake Ahero wanakodisha mashamba ya mpunga, wagawana faida kutokana na uhaba wa hati miliki

  • | Citizen TV
    206 views
    Duration: 2:23
    Baadhi ya kina mama kaunti ya Kisumu wameamua kukodisha mashamba kwa kilimo cha mpunga na mboga ili kujikumu kimaisha. Hatua hii ikijiri huku takwimu za hivi punde zikionyesha uhaba wa hati miliki kama kigezo kikubwa kwa wanawake wakulima. Laura Otieno alizuru mashamba ya Ahero na kupata simulizi ya wanawake wanaolisha taifa licha ya changamoto za ukosefu wa ardhi.