Skip to main content
Skip to main content

Wanawake katika sekta ya usafiri wa angani wajitokeza na kuwapa ushauri wanafunzi wa kike kuhusu sek

  • | Citizen TV
    1,303 views
    Duration: 3:04
    Huku mtaala wa CBC ukitarajiwa kuanza kutoa mafunzo ya urubani na safari za katika baadhi ya shule za upili nchini, kundi la wanawake waliobobea katika taaluma hiyo wamezindua mpango wa kutoa ushauri na motisha kwa wanafunzi wa kike katika kaunti ya Nandi. Mamia ya wanafunzi wa kike walipata fursa ya kutangamana na marubani, wahandisi na waelekezi wa ndege ambao ni wanawake.