Skip to main content
Skip to main content

Wanawake na wasichana walengwa na wahalifu mitandaoni

  • | Citizen TV
    354 views
    Duration: 1:51
    Huku hamasisho ya siku 16 dhidi ya dhulma za kijinsia inapoendelea, washikadau wa haki za akina mama na Washichana Kaunti ya Narok wameibua hofu kutokana ongezeko la dhulma kupitia mitandao ya dijitali walengwa wakiwa wanawake na wasichana.